Rais Magufuli aanza kutafuta Wadhamini Dodoma “naomba nipate Wadhamini hapa”

Rais Magufuli leo June 17, 2020 ameanza kutafuta Wadhamini ili kukidhi masharti ya CCM ya kugombea Urais “Nimeona nipate wadhamini namba moja kutoka hapa Dodoma, nimeambiwa wameshajitokeza watu wengi kabla hata fomu haijaja na fomu ina majina 25 tu, nafikiri niwaongeze tu nyingine”.

Comments