MATUKIO KATIKA PICHA MAZISHI YA WAZIRI BALOZI MAHIGA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hasani akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa waziri wa katiba na sheria Balozi Augustino Mahiga leo katika makaburi ya Tosamaganga Iringa 
Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa akiweka udongo 

Naibu spika wa bunge Dr Tulia Ackson akiweka udongo
Mwili wa Mahiga ukitolewa nyumbani kwake


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Dr Abel Nyamahanga akiweka udongo

Comments