Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akabidhi Gari 50 za Kubebea Wagonjwa Kwa Wabunge.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akiwa na baadhi ya wabunge waliokabidhiwa funguo za magari ya kubebea
wagonjwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Ofisi ya
Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 29, 2020. Magari 50 ya kubebea
wagonjwa yenye thamani ya shilingi bilioni 6 yalikabidhiwa kwa wabunge.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea shukurani kutoka kwa Mbunge wa Mbulu
Vijijini Fratei Massay wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea
wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29,
2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto
(kulia) wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge
yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo
yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma. Wa pili kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia
Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga
wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye
thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo
yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Ummy Mwalimu.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) wakifurahia
wakati Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta (kulia) alikionyesha ufunguo wa
gari la kubebea wagonjwa baada ya kukabidhiwa wakati Waziri Mkuu
alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani
ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika
kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,
Amina Makilagi wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa
wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020.
Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu,
Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga
wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye
thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo
yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini
Dodoma. Wa pili kulia ni Mbunge wa Nyasa na Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Mhandishi, Stella Manyanya
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia
ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati
alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani
ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika
kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili
kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Ummy Mwalimu na wa tatu kulia ni Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi, Stella Manyanya.
Mbunge
wa Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Stella
Manyanya akitazama gari la kubebea wagonjwa la Kituo cha Afya cha Mbamba
Bay wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokabidhi magari 50 ya
kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6,
Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi
ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Mbunge
wa Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi
Stellla Manyanya akilala chini ikiwa ni ishara ya shukurani na furaha
iliyokithiri kwa mujibu wa mila za wangoni na wamatengo wakati
alipokabidhiwa ufunguo wa gari la kubebea wagonjwa wakati alipokabidhi
magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya ya shilingi
bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye
viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments
Post a Comment