BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA BUKOMBE LAFANYA MAPITIO YA BAJETI 2018/2019

Meza kuu wakifuatilia kwa ukaribu kablasha la mapitio ya Bajeti 2018/2019 kwenye kikao cha Baraza kilichoketi kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ya Bukombe
 
Madiwani wakifuatilia kwa umakini mkubwa kablasha la mapitio ya Bajeti 2018/2019 kwenye kikao cha Baraza kilichoketi kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ya Bukombe



Wataalam wa halmashauri ya wilaya ya Bukombe wakifuatilia kwa ukaribu kablasha la mapitio ya Bajeti 2018/2019 kwenye kikao cha Baraza kilichoketi kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ya Bukombe




Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama wakifuatilia kwa ukaribu kablasha la mapitio ya Bajeti 2018/2019 kwenye kikao cha Baraza kilichoketi kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ya Bukombe





Diwani wa kata ya Ushirombo Mhe.Lameck Warangi  akichangia mapitio ya Bajeti 2018/2019 kwenye kikao cha Baraza kilichoketi kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ya Bukombe


Wajumbe wakiwa kikaoni




Comments

Post a Comment