Mkuu wa Wilaya Ya Bukombe Said Nkumba akizungumza na Viongozi wa Serikari za mitaa pamoja na Vijiji na wataalam wa kata ya Uyovu
Afisa tawala wa Wilaya ya Bukombe Ally Mketo akizungumza jambo na viongozi wa Serikari za mitaa pamoja na Vijiji na wataalam wa kata ya Uyovu
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa pamoja na Vijiji wakiskiliza kwa makini maelekezo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Bikombe Said Nkumba
Wataalam wakiskiliza kwa makini maelekezo toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Bikombe Said NkumbaBONYEZA HAPA CHINI KUTAZAMA ALICHOONGEA DC WA BUKOMBE SAID NKUMBA
Comments
Post a Comment