Aliyekuwa
Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga, amefariki dunia usiku wa
kuamkia leo Jumanne Septemba 17, 2019, katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (MNH), Dar es Salaam, alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mwili wake tasafirishwa kwenda Morogoro kesho Septemba 18, 2019, na msiba uko Kimara Stop-Over jijini Dar es Salaam kwa dada yake.
Mwili wake tasafirishwa kwenda Morogoro kesho Septemba 18, 2019, na msiba uko Kimara Stop-Over jijini Dar es Salaam kwa dada yake.

Comments
Post a Comment