Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akiendesha zoezi la ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Nampalahara kilichopo Kata ya Busonzo
Katibu waa Mbunge Jimbo la Bukombe Benjamin Elias Mgeta akishiriki ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Nampalahara kilichopo Kata ya Busonzo
Hatua iliofikiwa katika ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Nampalahara kilichopo Kata ya Busonzo
Wananchi wakishiriki katika ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Nampalahara kilichopo Kata ya Busonzo
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akiwa na wadau wa maendeleo kutoka Bank ya NMB kwa pamoja wakishiriki katika zoezi la kuchanganya simenti na mchanga
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akiandaa kipande cha tofali tayari kwa kumpa fundi
Comments
Post a Comment