BUKOMBE STAR MBELE KWAMBELE KUICHAPA LOLIONDO FC 4-1


Wachezaji  Wa Timu  ya Bukombe Star
Timu ya Bukombe star mbele kwa mbele imetwaa ubingwa wa kata ya Bukombe wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita katika mashindano ya Doto Cup 2019 baada ya kuichapa bila huluma timu ya Loliondo fc ya Imalanguzu goli 4-1 kwenye mchezo wa faainali yaa kata.
 Wafungaji wa magoli ya timu ya Bukombe star Majuto Manyanda dakika ya 44 goli la oli lilifunga na Sadam Pius dakika ya 51 na goli la tatu lilifungwa na Sadamu Pius dakika ya 64 goli la nne lilifungwa na Sadam Pius dakika ya 81.

Diwani wa kata ya Bukombe Leokadia Masokola akimkabidhi zawadi  nahodha wa timu ya Loliondo fc Bundara Daniel

Mfungaji wa goli la timu ya Loliondo fc Daniel Charles dakika ya 3 hadi kipenga cha mwisho timu hii hawakutikisa tena nyavu za timu ya Bukombe star.
Nohodha wa timu ya Bukombe star Majuto Sharo amesema malegoya timu yake nikushinda ngazi ya kata na tarafa na kuchukuwa ubingwa wa wilaya.
Nohodha wa timu ya Loliondo fc Bundara Daniel amesema wamepokea matoke yayo kwa moyo mmoja michezo niurafiki na Afya wamefunga kwa halali kwa kupitia mazaifu yetu.
Diwani wa kata ya Bukombe Leokadia Masokola amesema timu mabazo zimeshiriki zimefanya vizuri.

Masokola ameongeza kuwa zawadi za ubingwa wakata timu ya Bukombe star wasibweteke badalake wajuwe mbele kuna kazi kubwa ya mashindano ngazi ya tarafa.

Masokola amekabidhi zawadi ya ubingwa wakata timu ya Bukombe star seti ya jezi na mpira thamani ya 200,000 huku Loliondo fc wamepokea dhawadi ya mpira moja 100,000.

Comments