Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoani Geita,(GEREFA)
Joseph Kaboteakiongoza Kamati y Doto Cup 2019 katika ukaguzi wa timu hizo
Kama kawaida ya mashabiki wa soka uwanjani
Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya
Bukombe (BUFA) Bosco Mwidadi amesema katika ligi hiyo zinashiriki timu 155 na kwamba mshindi
wa kwanza atajinyakulia zawadi ya Sh 500,000 na jezi seti tatu na mipira mitatu
na medali moja kwa kila mchezaji, mshindi wa pili atabeba sh 300,000 jezi seti mbili na mipira
miwili na medalikwa kila mchezaji mshindi wa watatu atachukuwa sh 200,000 jezi seti moja mpira
mmoja
Makamu Mwenyekiti wa chama cha waamzi Wilaya ya Bukombe (FLATI)
Jofrey Msakila ambaye alikuwa mwamzi wa kati katika ufunguzi huo alisema wito
wa makamu mwenyekiti wa (GEREFA) chama cha waamzi kitayafanyia kazi na mwamzi
atakae lalamikiwa atachukuliwa hatua.
Michuano ikiendelea katika ufunguzi wa Doto Cup
Kama kawaida ya mashabiki wa soka uwanjani
Nahodha wa kikosi cha yanga (uyovu) akiwaonyesha mashabiki baada ya kukabidhiwa zawadi
Nahodha wa kikosi cha Simba (uyovu) akikabidhiwa zawadi na Mgeni rasmi
Comments
Post a Comment