Picha : RAIS MAGUFULI ATUA AFRIKA KUSINI KUHUDHURIA SHEREHE YA UAPISHO WA RAIS MTEULE CYRIL RAMAPHOSA
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria
Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa
ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa
awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kuingia kwenye ndege
ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) walipokuwa wakielekea
Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa
nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais mstaafu wa
awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye ndege ya
Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini Afrika
Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo
Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.
Picha na Ikulu
Comments
Post a Comment