MBUNGE AWATAKA WALIMU KUTUNZA VIFAA VYA MICHEZO

  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka  Biteko akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Butinzya

  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka  Biteko akikabidhi vifaa vya michezo kwa ajili wanafunzi  kike wa Shule ya Sekondari Butinzya



  Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka  Biteko akikabidhi vifaa vya michezo kwa ajili wanafunzi  kiume wa Shule ya Sekondari Butinzya

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka  Biteko akiwa katika picha ya pamoja na  wanafunzi  wa Shule ya Sekondari Butinzya.



Mbuge wa Jimbo la Bukombe Mkoa wa Geita, Doto Biteko amewataka walimu wa michezo shule ya sekondari Butinzya kutunza vifaa vya michezo na kuvitumia kwa matumizi ya michezo 

Biteko alitowa wito huo wakati akakabidhi vifaa vya michenzo vyenye thamani ya sh milioni  1.2  miongoni mwa vifaa hivyo seti mbili jenzi za wasichana seti mbili zingine za wavulana na mipira mine.

Aliwaomba walimu kuinua vipaji vya watoto na sikuvididimiza na kuwafanyia mazoezi  yakiwemo mashindano ya kirafiki ili kukuza vipaji vyao siku moja mchezaji wa taifa au ulaya atoke jimbo la Bukombe.

Mwalimu wa michezo shule ya Butinzya sekondari Suzana Kafumu alisema mahitaji ya vifaa vya michezo mbali mbali na mipira mahitaji mipira sita iliyokuwepo mipira miwili upunguvu mipira minne.

Kafumu alisema tangu shule ya sekondari kuanzishwa 2007 wanafunzi wanamichezo hawajawahi kuva jenzi tangu walikuwa wanaazima shule ya msingi  Butinzya au kutumia salezao wakiwa kwenye michezo za kirafiki.

Kaka mkuu wa shule ya Butinzya sekondari Samson Hiya pia mwana michezo alishukuru mbunge kuwaletea msaada wa vifaa vya michenzo hali ambayo itawafanya kufulahi kuinua vipaji na kujenga afya na mahusiano.

Comments