RAIS MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI WA KAMATI YA TAIFA YA UONGOZI WA TASAF
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua
Moses Mpogole Kusiluka kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi wa
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF).
Comments
Post a Comment