Rais
Magufuli atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, viongozi wa TFF, Kamati
ya Uhamasishaji na bondia Hassan Mwakinyo leo Machi 25, 2019, saa 4:00
asubuhi Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa
Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa inaeleza kuwa pamoja na mambo
mengine, Rais pia atawapongeza na kula nao chakula cha mchana.
Comments
Post a Comment