Rais John Magufuli ameelezea jinsi baadhi ya watumishi walivyotaka kutumia zaidi ya Sh200 milioni kuweka nembo kwenye ndege ya serikali iliyotolewa kwa ATCL ambapo nembo hiyo baadaye ilichorwa kwa shilingi milioni tano tu.
Rais amesimulia hayo leo Alhamisi March 27, 2019 Ikulu Dar Wakati akimuapisha balozi Mpya wa Cuba Valentino Mulowola.
"Nilipokuwa
kwenye sherehe Uwanja wa ndege, nilitoa agizo ndege ya Rais itumike
kubeba abiria, nikaambiwa kazi ya kuchora twiga na nembo ya Air Tanzania
haiwezi kufanyika nchini, nikatajiwa nchi 3 ndio zinaweza kucjora,
yaani hapa nchini haiwezekani.
Comments
Post a Comment