Mhe Biteko aongeza nguvu kwenye Zahanati ya Ihulike-Bukombe

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akiweka jiwe la msingi kwenye Zahanati ya Kijij cha Ihulike Kata ya Ushirombo.
 
Muonekano wa Zahanati ya Kijij cha Ihulike Kata ya Ushirombo kwa hatua iliyofikiwa

Diwani wa Kata ya Ushirombo Mhe. Lameck Warangi akizungumza na wananchi wa Kata hiyo katika Mkutano ulioandaliwa na Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.

Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wananchi wa Kata ya Ushirombo katika mkutano uliofanyika Kijiji cha Ihulike.


Bonyeza hapo chini kumsikiliza Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko alichokisema Ihulike.

Comments