
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media
Group, Ruge Mutahaba umewasili nchini leo mchana, 2, Machi, 2019.
Mwili wake unatarajia kuagwa Jumamosi, 2 Machi, 2019 katika ukumbi wa
Karimjee, Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa mkoani Kagera
kwaajili ya mazishi yatakayofanyika Jumatatu, 3 Machi, kijijini kwao
Kiziru wilayani Bukoba.
Hii hapa ni ratiba rasmi ya kuuaga mwili wake.

Comments
Post a Comment