Wizara ya Madini yafuta leseni zaidi ya elfu 18

Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika hii leo kwenye uwanja wa Kolimba, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora.
Mama Samia anaendelea na ziara yake ya siku tano mkoani Tabora iliyoanza Februari 21, 2019 ambapo leo akiwa wilayani Kaliua, amekagua na kuweka jiwe la ufunguzi kwenye jengo la upasuaji katika Kituo cha Afya Kaliua, kukagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya Wilaya Kaliua. Pia amekagua na kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Kituo cha Afya Uyumbu kilichopo wilayani Urambo na baadaye kuzungumza na wananchi kupitia mkutano wa hadhara.

Comments