WAZIRI WA MADINI AKUTANA NA BALOZI WA CANADA


Waziri wa Madini Mhe.Doto Biteko amekutana na Balozi wa Canada,Pamela O'Donnell ofisini kwake na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu Sekta ya Madini.
 
Miongoni mwa mambo waliyozungumza Ni Pamoja na mabadiliko ya Sheria ya Madini,kodi na Tozo mbalimbali katika sekta ya madini, Taratibu za kuomba leseni,utawala wa sheria, Mikataba ya uwekezaji na upatikanaji wa vibali vya kufanya kazi kwa watu wa mataifa ya nje. 




                  Waziri wa madini Mhe. Doto Biteko na Balozi wa Canada Pamela O'Donnell 
                                                                           (Pichani)

Comments