VIJANA WATAKIWA KUBUNI MIRADI ILI KUJIPATIA KIPATO


Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa(NEC) Idd Kasim Idd akizungumza na vijana wa Wilaya ya Bukombe katika uadhimishaji wa miaka 42 ya CCM yalifanywa na vijana hao Wilayani hapa.

Baada ya kuhudhuria shunguli za miradi ya maendeleo akiwa na vijana hao aliahidi kupeleka bando tano za Bati katika shule ya Msingi Bomani na kuwashika mkono Umoja wa Vijana wa CCM kwa kuwaletea chezi na mpira ili kuinua michezo kwa vijana. 



Mwenyekiti wa CCM(W)Bukombe Daniel Machongo akizungumza na vijana wa CCM katika maadhimisho ya miaka 42 ya kuzaliwa kwa CCM yaliyofanywa na Umoja huo katika Kata ya Katente.


Comments