SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWENYE SEKTA YA MADINI

Waziri wa Madini, Doto Biteko akitoa salamu za wizara hiyo kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Mama Samia anaendelea na ziara yake ya siku tano mkoani Tabora aliyoianza Februari 21, 2019 ambapo hii leo amekagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za Halmashauri ya Sikonge pamoja na kuzungumza na wananchi kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa TASAF.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM na Serikali baada ya kuwasili wilayani Sikonge.

Comments