MH BITEKO AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA STAMICO

Waziri wa Madini, Doto Biteko amezindua bodi ya Wakurugenzi ya STAMICO  na kuwataka kuwa wabunifu katika kulifanya shirika kuwa na tija kwa Taifa.

Aidha, amemuahidi Mwenyekiti wa bodi hiyo Men. Gen (Mstaafu) Michael Isamuyo na wajumbe wake kuwa Wizara itatoa ushirikiano kuifanya bodi hiyo kutekeleza majukumu yake ipasavyo.


Comments