Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimia wananchi waliokuja kumlaki wakati akiwasili kwenye
mgodi wa Almasi Mwadui mkoani Shinyanga. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimia wanafunzi waliokuja kumlaki wakati akiwasili kwenye
mgodi wa Almasi Mwadui mkoani Shinyanga.
Meneja wa Huduma za Kiufundi wa Mgodi wa Williamson Diamond Richard
Jumanne akimuonyesha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan eneo ambalo uchimbaji wa almasi unafanyika
katika mgodi huo uliopo Mwadui, Shinyanga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
akiangalia shughuli ya uchambuaji wa almasi klatika mgodi wa Wiliamson
Diamond Ltd, wengine pichani ni Naibu Waziri Madini Mhe. Stanslaus
Nyongo (kushoto) na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. Angelline Mabula pamoja na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara (kulia). Makamu wa Rais yupo mkoani
Shinyanga kwa ziara ya kikazi.

Hassan akiweka jiwe la msingi wa ujenzi wa maabara ya shule ya Sekondari
Shinyanga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga mara
baada ya kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa maabara .

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Shinyanga wakimsikiliza Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
ambaye yup kwenye ziara ya kikazi mkoani humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubia wananchi wa Kishapu kwenye uwanja wa mikutano Mhunze
mkoani Shinyanga.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa Makamu wa Rais Mhunze, Kishapu mkoani Shinyanga. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Comments
Post a Comment