Baraza la Madiwani-Bukombe kuangalia kwa jicho la pili Watoto wa Kike kwa kuwapa kipaumbele kwenye Afya


Meza Kuu wakiwa katika umakini mkubwa





Jopo la watalamu wa Halimashauri ya Wilaya ya Bukombe wakiwa katika Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri hiyo.

Diwani wa Kata ya Iyogelo Mhe. Juma Lushiku akichangia hoja  katika Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

Bonyeza hapo chini kujua hatima ya watoto wa kike katika huduma ya Afya...........

Comments