ALHAJ KALIDUSHI AWATAKA WANABUKOMBE KUSHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA MIRADI YA MAENDELEO.

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Butinzya akifungua kikao kuruhusu ajenda ziendelee.
 
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akikabidhiwa kadi ya Chadema baada ya mwanachama huyo aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Butinzya Mashariki kuamua kwa hiari yake kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.

 
 
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akiwa naMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe Daniel Machongo, Katibu wa Itikadi na uenezi Ladslous Soku pamoja na wajumbe wa Kata ya Katome 

Diwani wa kata ya Katome Mhe. Mhangwa akitoa taarifa ya kata yake kwa
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Alhaj Said Kaldushi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe Daniel Machongo akizungumza na wanaccm wa Kata ya Katome.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi
akizungumza na wanaccm wa Kata ya Katome.


Wajumbe wa Kata ya Katome wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akizungumza na wanaCCM wa Kata ya Bulangwa baada ya kuwasili katani hapo.






Kalidushi aliwaomba kubadilika na kuacha tabia ya kusubiri viongozi wa juu ndio wawe wasemaji juu ya namna inavyotekelezwa ilani ya CCM na kuwasihi kila mwanachama kuhakikisha anatangaza ilani kwa kueleza ni kiasi gani imetekelezwa bila kujali wafadhifa gani alionao ndani ya chama.

“Naomba muibue na kushiriki kikamilifu katika shughuli za miradi ya maendeleo pamoja na kuisemea kila hatua  bila kificho ili kila mmoja aone Ilani inavyotekelezwa”.Alisema Kalidushi.
 

Comments