Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Constantine Kanyasu awapa dira wakazi wa Kitongoji cha Idosero -Bukombe

 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Constantine Kanyasu akizungumza na wakazi wa Kitongoji cha Idosero Kata Busonzo Wilayani Bukombe.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe na Diwani wa Kata ya Busonzo Mhe. Safari Nikas Mayala akizungumzia juu ya uhalali wa  wananchi wa Idosero kufanya makazi .

 

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akizungumza na wakazi wa Idosero
Wananchi wakiwa katika umakini mkubwa wa kusikiliza maelekezo kutoka kwa viongozi wao



Naibu Waziri Constantine Kanyasu awapa dira wakazi wa Kitongoji cha Idosero -Bukombee kwenye hii video hapa chini


Comments

  1. Halmashauri ya wilaya yabukombe mpo vizuri sana hongereni sana.Mh.Naibu waziri wa madini na mbunge wa bukombe pia.Mh.said mkumba mkuu wa wilaya ya bukombe mnafanya Nazi kubwa sana

    ReplyDelete

Post a Comment