MAANDALIZI YA SHULE

 Mkazi wa Mji wa Ushirombo Wilayani Bukombe akimuandalia madaftari mtoto wa dada yake Mariam Zacharia.
 

Mkazi wa Kata ya Igulwa  Wilayani Bukombe Samson Brush akimpima sare za shule mtoto wake Kija Samson katika eneo la Soko Kuu mjini Ushirombo iliwa ni maandalizi ya kuanza masomo.

Comments