Wakwanza kutoka kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, Dions Myinga wapili Makamu Mwenyekiti Lameck Warangi, watatu Mkuu wa wa Wilaya Said Nkumba wanne Mwenyekiti wa CCM Wilaya Daniel Machongo wakwanza kulia Katibu wa CCM Wilaya Bi Kanyogote wakisikiliza hoja za madiwani wakati wa Baraza.

Wakwanza kutoka kushoto Mkurugenzo Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, Dions Myinga akifafanua na kuwaomba Madiwani kuwa mstali wa mbele kudhibiti utoro na mimba mashuleni wapili Makamu Mwenyekiti Lameck Warangi, watatu Mkuu wa Wilaya Said Nkumba wanne Mwenyekiti wa CCM Wilaya Daniel Machongo wakwanza kulia Katibu wa CCM Wilaya Bi Kanyogote wakisikiliza hoja za madiwani wakati wa Baraza.
Diwani wa kata ya Bulangwa Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita Yusuph Mohamed akichangia hoja kwenye Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Bukombe
Madiwani wa kata 17 zinazounda Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita wakiwa kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Doins Myinga wakati akitowa wito kwao wadhibiti utoro na mimba mashuleni.

Wakuu wa idara mbali mbali za Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita wakiwa kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wakisikiriza taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo ya kata zikisomwa na madiwani.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita Daniel Machongo akifafanua jambo na kuwashauri madiwani na serikali kushirikiana kikamirifu kukamilisha majengo ya miradi ya sekta ya Elimu na Afya.

Comments
Post a Comment