Naibu
Waziri wa Madini, Doto Biteko aliyasema hayo jana alipofanya ziara
katika mgodi huo kukagua shughuli zinazoendelea mgodi hapo.
Mapema
mwaka huu, Wizara ya Madini iliukataa mpango uliokuwa umeandaliwa na
kampuni hiyo ukikadiriwa kutumia dola milioni 18 kwa kuwa haukujumuisha
kufukiwa baadhi ya mashimo mgodini hapo (tazama picha), bali yabaki wazi
hadi yatakapojaa maji katika kipindi cha miaka 100 ijayo.
Naibu Waziri Doto Biteko (katikati), akifafanua jambo wakati akikagua shughuli mbalimbali katika mgodi wa Buzwagi.
Comments
Post a Comment