RAIS MAGUFULI AMEFANYA UTEUZI MWINGINE LEO

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Dkt. Mwakahesya umeanza tarehe 21, Novemba 2018.

Dkt. Mwakahesya aliwahi kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mwaka 2016. 


Comments