Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa leo
amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye
nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.
Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Comments
Post a Comment