Mhe. Biteko awaangalia kwa jicho la pili wakazi wa Kata ya Ng'anzo

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwa na katibu wake Benjamini Mgeta wakitazama miundo mbinu ya barabara inayotokea Buntubili-Ng'anzo - Bulega ilivyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha Wilayani Bukombe.  

Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwa na Mkandarasi wa Kampuni ya STRABAG alieambana nae katika ziara hiyo ya  akutazama miundo mbinu ya barabara inayotokea Buntubili-Ng'anzo - Bulega ilivyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha Wilayani Bukombe na kuahidiwa na mkandarasi huyo kuirekebisha barabara hiyo baada ya kufanya mazungumzo baina yao.  

Wananchi wakivuka maji kwa ajili ya kupeleka na kufuata mahitaji mbalimbali vijiji jirani baada ya barabara kukatika na mvua zinazoendelea kunyesha Wilayani Bukombe.

Comments