BARAZA LA MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE LAFANYIKA LEO.

 Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga akizungumza jambo wakati wa baraza la madiwani Bukombe lililofanyika katika Ukumbi wa mkutano wa Halmashauri ya Bukombe. 


 
  Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko Akizungumza na wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Bukombe kwenye mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.

 Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe wakionekana pichani katika umakini mkubwa wa kusikiliza mwenendo wa kikao hicho.

Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Uasalama ya Wilaya ya Bukombe wakionekana pichani katika umakini mkubwa wa kusikiliza mwenendo wa kikao hicho.


Hawa ni Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Watumishi wa   Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe wakionekana pichani katika umakini mkubwa wa kusikiliza mwenendo wa kikao hicho.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (W) Bukombe Daniel Machongo akizungumza na wajumbe wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Bukombe
 Diwani wa Kata ya Ushirombo Mhe. Lameck Warangi akichangia jambo katika mkutano huo.


Comments