WILAYA YA BUKOMBE WAADHIMISHA WIKI YA SHERIA NCHINI

 Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe Gabriel Nimrod Kulwigila akitoa taarifa ya mwenendo wa Mahakama kwa Wilaya ya Bukombe ikiwa ni hatua ya kuadhimisha wiki ya sheria nchini.


 Wageni waalikwa
  Wageni waalikwa
 Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Martha Nkupasi akizungumza katika hafla hiyo kwa kutoa salaamu na changamoto za Wilaya yake kuhusiana mambo ya kimahakama yanayowakabiri wananchi wa Wilaya hiyo, 
 Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ya wiki ya sheria nchini akizungumza na hadhara iliyokuwa katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Bukombe.

Meza Kuu wakiwa na baadhi ya watumishi wa sekta mbalimbali katika picha ya pamoja
Meza Kuu wakiwa na watumishi wa MUNGU.
Meza Kuu wakiwa na baadhi ya wazee maarufu wa Mji wa Ushirombo
Meza Kuu wakiwa na  watumishi wa Mahakama katika picha ya pamoja.

Comments