MAADHIMISHO YA CCM MKOANI GEITA YAFAANA


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akiwasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Wilaya ya Bukombe kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 41 ya CCM yaliyofanyika Ki-Mkoa Wilayani Bukombe.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akisalimiana na Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe

Vikundi vya burudani.


Wajumbe

Mwenyekiti wa Wilaya ya CCM Wilaya Bukombe Daniel Machongo akizungumza na hadhara
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akishikana mkono na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Uhamiaji kilichoko Kata ya Katente bwn Mashoho baada ya kuachana na Chama Cha Demokrasi na Maendeleo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye maadhimisho ya miaka ya 41 ya CCM yaliyofanyika Wilayani Bukombe.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Geita David Hazaria na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Wilaya ya Bukombe Ladislaus Soku kwa pamoja wakiwaonyesha wajumbe waliofika katika maadhisho hayo, kadi zilizorudishwa  na wanachadema na kujiunga na Chama Cha Mapiduzi CCM.
Hawa ni baadhi tu ya wanachama wapya wakipata kiapo cha uadilifu baada ya kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akimkabidhi Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko hati ya pongezi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga hati ya pongezi.


Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa NEC bwn Kasim Idd Kasim akizungumza katika maadhimisho hayo
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi akitoa salaam za Mkoa katika maadhimisho ya 41 ya CCM Ki- Mkoa yaliyofanyika Wilayani Bukombe.
Katibu wa Mkoa CCM wa Geita Adam Ngwalawa akisema na wajumbe


Mkuu wa Wilaya ya Iramba ambae pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Bukombe Emanuel Luhahula akizungumza na wanaccm katika maadhimisho ya 41 ya CCM Ki- Mkoa yaliyofanyika Wilayani Bukombe.
Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko

Bonyeza hapo chini kusikia nini kilichosemwa na Viongozi hawa katika maadhimishoya miaka 41 ya CCM yaliyofanyika ki-Mkoa Wilayani Bukombe 

Comments