HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA WA GEITA WAFANYA SEMINA YA KUJENGEANA UWEZO


 
 Meza kuu wakiwa katika hali ya umakini wa kusikiliza semina hiyo iliyokuwa kiendeshwa na  baadhi ya viongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja wengine kutoka Serikarini ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo wajumbe hao.
Wajumbe
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Gabriel Luhumbi akisema na wajumbe wa mkutano


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Adam Ngalawa akihutubia katika kikao hicho

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC kutoka Mkoa wa Geita Kasim Idd Kasim akisisitiza jambo kwa wajumbe wa kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM(W)Bukombe Daniel Machongo akitoa salaamu za wanabukombe kwa wajumbe wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi akiwa amesimama kuhairisha kikao cha halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Geita kilichokuwa kimewajuisha watumishi wa Serikali na Chama wa Wilaya zote za Mkoa wa Geita kwa lengo la kujengeana uwezo katika utendaji kazi.

Comments