ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA GEITA ALHAJI SAID KALIDUSHI WILAYANI BUKOMBE

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi akipokelewa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bukombe Daniel Machongo walipowasili Wilayani humo kwa ziara ya siku moja.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi akivishwa skafu na vijana wa chipukizi
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi akielekea eneo la mkutano baada ya mapokezi mazito ya wanaCCM Wilayani Bukombe.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi akisalimiana na viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi-Bukombe

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi akizungumza na wajumbe wa halmashauri ya CCM-Bukombe 




Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi akiwa katika umakini wa kupokea maswali,maoni na changamoto mbalimbali za Wilaya ya Bukombe






Comments