TIMU YA WAOKOAJI WAFANIKISHA KUUPATA MWILI

Wakazi wa Kijiji cha Buntubili Kata ya Igulwa Wilayani Bukombe wakishuhudia zoezi la kumwokoa ndg Mvumbi Msuluzya  katika mgodi unaomilikiwa na Bwn Stephan Spimo 
Zoezi likiendelea

Baadhi ya sehemu ya Mwili wa Bwn Mvumbi Msuluzya
Waokoaji wakiwa wamebeba mkono wa Mvumbi Msuluzya  baada ya zoezi la uokoaji  kuonekana  kuzaa matunda
Kijiko kikiwa kimetoa Mwili wa Mvumbi Msuluzya wakati wa uokoaji
Timu ya waokoaji wakiwa wanavaa vifaa mikononi kwa ajili ya kuubea mwili wa Marehemu Mvumbi Msuluzya


Kamati ya Ulinzi na Uasalama wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga, Viongozi wa Chama Tawala Wilaya ya Bukombe na wanachi kwa pamoja wakiwa eneo la tukio 
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga akiwashukuru watumishi wa Kampuni ya Strabag inayotengeneza Barabara ya Lami kutoka Ushirombo - Lusahunga baada ya kutoa mitambo yao na watumishi bure kwa ajili ya zoezi zima la uokoaji


Comments