IKARANGA WAONGEZWA NGUVU YA KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI NA VYUMBA VYA MADARASA NA MHE. DOTO MASHAKA BITEKO
Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akielekea eneo la mkutano Ikaranga kuzungumza na wananchi.
Mwenyekiti wa CCM(W)Bukombe Daniel Machongo akizungumza na wakazi wa Ikaranga
Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na Wakazi wa Ikaranga na viunga vyake

Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na msafara wake wakitazama hatua iliyofikiwa na wakazi wa Ikaranga katika ujenzi wa Zahanati

Comments
Post a Comment