Rais
John Magufuli (katikati) akiwa ameshikana mikono akiomba dua na
mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” (wa pili kushoto) na wanaye
Johnson Nguza “Papii Kocha” (wa pili kulia), Francis Nguza (wa kwanza
kulia) na Michael Nguza (kushoto) walipofika Ikulu Dar leo, Januari 2,
kumshukuru kwa msamaha aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha
walichokuwa wakitumikia
“Babu Seya” na wanaye Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu leo.
Rais Magufuli alitoa msamaha kwa wanamuziki hao, miongoni mwa watu zaidi ya 8,000 aliowasamahe siku ya uhuru wa Tanzania Bara, Desemba 9 mwaka jana, wakati akilihutubia taifa huko Dodoma.
Comments
Post a Comment