Alhaj Said Kalidushi Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Geita


 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)kutoka Wilaya ya Geita  wakiwa tayari ukumbini kushiriki uchaguzi wa viongozi wa  CCM Mkoa wa Geita.
  Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)kutoka Wilaya ya Mbogwe  wakiwa tayari ukumbini kushiriki uchaguzi wa viongozi wa  CCM Mkoa wa Geita.


 

  Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)kutoka Wilaya ya Bukombe  wakiwa tayari ukumbini kushiriki uchaguzi wa viongozi wa  CCM Mkoa wa Geita.
  Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)kutoka Wilaya ya Nyang'wale  wakiwa tayari ukumbini kushiriki uchaguzi wa viongozi wa  CCM Mkoa wa Geita.
 
  Wagombea wa nafasi mbalimbali.
 Mmoja wa Wadhamini akipokea hati ya Pongezi kwa ajili ya mchango wake wa hali na mali kwa ajili ya ufanikishaji wa shughuli za uchaguzi.

  Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mhe. Costantine Kanyasu akipokea hati ya Pongezi kwa ajili ya mchango wake wa hali na mali kwa ajili ya ufanikishaji wa shughuli za uchaguzi.
  Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Bukombe Benjamini Elias Mgeta akipokea hati ya Pongezi kwa niaba ya Mhe. Doto Mashaka Biteko(Mb) kwa ajili ya mchango wake wa hali na mali  katika ufanikishaji wa shughuli za uchaguzi.
 
  Mwenyekiti anaemaliza mda wake Mhe. Joseph Kasheku Musukuma akifungua kikao na kukiacha wazi kwa ajili ya uchaguzi ili kuwapata viomgozi wapya.
  Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa na kuwaasa kuchagua viongozi mwenye uwezo wa kufanya kazi ili kuendana na kasi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Mhe. Dkt John Pombe Magufuli na sio kutafuta cheo cha kujitambulishia
  Msimamizi wa Uchaguzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa Mhe. Dkt Hamis Kigwangala akiwasomea kanuni za uchaguzi wajumbe kabla ya uchaguzi kuanza.
  Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti Mkoa Alhaj Said Kalidushi akiomba kura Wajumbe
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti Mkoa John Luhemeja akiomba kura Wajumbe
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti Mkoa Saimon Mayengo akiomba kura Wajumbe

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga akiikunja kura yake baada kupiga tayari kwa kuweka kwenye sanduku la kura.

Mhe. Steven Masele(Mb)Mbogwe akiiweka kura yake baada kupiga.



Wajumbe wakisherehekea ushindi wa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Geita Alhaj Said Kalidushi

Alhaj Said Kalidushi amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Mkoa wa Geita baada ya Joseph Kasheku Musukuma kumaliza mda wake aliongoza nafasi hiyo kwa miaka  mitano .

Idd Kasim Idd amechaguliwa kuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya  CCM Taifa ,kupitia Mkoa wa Geita.

Akisoma matokeo kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM mkoani hapo,msimamizi wa uchaguzi huo ,Dkt Hamis Kigwangala,aliwatangaza Wajumbe wa Halmashauri kuu ya mkoa kama ifuatavyo

 Benjamin Elias Mgeta, Deogratias George Apolinali ,Sebastian Biseko,John Chenge Luhemeja,Ernest Nyororo,Mbaruku Salum Mseba,Elizabeth Kingi,Petro Lukas Paul,Agatha Athuman



Katibu mpya wa Itikadi na Uenezi CCM Mkoa wa Geita David Otee Hazaria.



Comments