BODI YA BARABARA MKOA WA GEITA YAKUTANA



Mbunge wa Jimbo la Mbongwe Mhe Steven Masele akizungumza katika kikao hicho juu ya chanagamoto za barabara Jimboni kwake.
Wajumbe

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe. Safari Nikas Mayala. 


Mbunge wa Jimbo la Busanda Mhe. Laurensia Bukwimba akichangia maada
Meneja wa Wakala Wa Barabara TANROAD Mkoa wa Geita Eng. Harun Senkutiku akitoa maelezo juu ya barabara zinazahudumiwa na TANROAD kwa Mkoa wa Geita.
Mratibu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini  Mkoa wa Geita TARURA Eng. Musa Mzimbiri akilezea nini maana ya TARURA na kazi yake.




Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita  Alhaji Said Kalidushi akizumgumza na wajumbe wa kikao cha bodi ya barabara Mkoa wa Geita kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Comments