MHE. DOTO BITEKO; KITUO CHA AFYA UYOVU KUPANULIWA


Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko  akiwa na viongozi mbalimbali wa Ngazi ya Wilaya na wa Kata ya Uyovu kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika Lyobahika-Uyovu
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akikumbatiana na Diwani wa Kata ya Uyovu Mhe. Yusuph Fungameza katika kiwanja cha mkutano Lyobahika-Uyovu.

Diwani wa Kata ya Uyovu Mhe. Yusuph Fungameza akizungumza na wananchi wa Uyovu na viunga vyake kwenye Mkutano ulioandaliwa na Doto Mashaka Biteko(Mb).
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wakazi wa Uyovu kwenye Mkutano wa Hadhara.

Waliouliza maswali kwenye Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Doto Mashaka Biteko(Mb) katika viwanja vya Lyobahika-Uyovu.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akijibu Maswali ya Wananchi 
Hadhira iliyojikusanya kwa nia ya kumsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko kwenye Mkutano uliofanyika Lyobahika Uyovu








Comments