MBUNGE DOTO BITEKO AWAASA WAZAZI KUSOMESHA WATOTO HASA WA KIKE


Wahitimu wa Kidato cha Nne Shule ya Sekonbadri Ushirombo.
Wazazi wa Wahitim
Mmoja wa Kiongozi wa Dini akitoa nasaha kwa Wahitim

Diwani wa Kata ya Bulangwa Mhe. Yusuph Mohamed akizungumza katika Mahafali


Wanafunzi wakitoa burudani mbalimbali kataka Mahafali
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akikabidhiwa risala na Kiongozi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ushirombo

Vijana wa Skauti wakionyesha viwango

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akikabidhi zawadi kwa baadhi ya waliotumbuiza kabla ya hotuba yake

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisimiamia zoezi la ulaji wa keki huku yeye akiila ka laki tatu ikiwa ni moja ya jitihada za kupanua mfuko wa Shule hiyo ya Sekondari Ushirombo.

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwatunuku vyeti wahitim

Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akiwatunuku vyeti wahitim.

Bofya hapa kutazama yaliyojili katika Mahafali ya Kidato cha nne Shula ya Sekondari Ushirombo

Comments