DANIEL MACHONGO ASHIKA KITI CHA CCM-BUKOMBE



Wajumbe wakionyesha hali ya utulivu  Mkutanoni 
Katibu wa Itikadi na Uenezi(W)Bukombe aliyemaliza mda wake Safari Nikas Mayala akizungumza na wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Wilaya ya Bukombe
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Mkoa na Wilaya Emanuel Luhahula akiteta na Hadhara ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM(W)Bukombe.
Mjumbe wa NEC Heziron Mapambano Manyangu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM(W)Bukombe aliyemaliza mda wake Ndg Zakaria Bwire akiwa meza kabla ya kujiuzulu.
Kamati ya Siasa CCM(W)Bukombe wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM(W)Bukombe aliyemaliza mda wake Ndg Zakaria Bwire wakijiudhuru.
Katibu wa CCM(W)Bukombe Avelin Ngwada akisoma majina ili kuhakiki wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM(W)Bukombe kabla kufanya uchaguzi wa viongozo mbalimbali ndani ya Chama.
Wanafunzi walioalikwa na Chama ili kusimamia zoezi la kuhesabu kura
Waliojaza Fomu za kuomba Nafasi za Uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Bukombe
Hawa ndiyo waliyobaki kwenye kinyang'anyilo cha Nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Bukombe baada ya vikao vya juu kufanya uteuzi.

Wajumbe wakiendelea na zoezi zima la upigaji kura



Wajumbe wakiendelea na zoezi zima la upigaji kura


Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Josephat Maganga,Mwenyekiti wa jumuiya wazazi(W)Bukombe. Diwani wa Kata ya Bukombe Mhe. Rozalia Masokola pamoja na Diwani wa Kata ya Lyambamgongo Shitobelo


Wajumbe na wanachama kwa ujumla wa CCM wakiwa katika harakati za chakula huku wakifurahia kitendo kilichofanywa na Mbunge wao Mhe. Doto Mashaka Biteko cha kufadhili Chakula kwa ajili ya Mkutano Mkuu CCM(W)Bukombe.

Baadhi ya Wanaccm wakitumbuiza
Wajumbe wapya wa Mkutano Mkuu CCM Taifa

Mwenyekiti wasasa wa Chama Cha Mapinduzi CCM(W)Bukombe Daniel Machongo akiwashukru wajumbe kwa kumchagua na kuahidi kuwafanyia kazi kwa nguvu zote ili kuhakikisha wanajenga chama hicho na kuwa imara zaidi bila kujali dini wa ukabila. 
 Katibu wa Itikadi na Uenezi(W)Bukombe wasasa Ndg Ladislaus Soku

Comments