NUSU FAINALI YA DOTO CUP 2017,Runzewe Acadeny, Chui Fc Waibuka Vinara

   Vikosi Vya Timu zote Vikielekea Meza kuu.

  Manahodha wa Timu ya Young Boys na Chui wakipokea maelekezo kutoka kwa waamuzi wa Mchezo kabla ya Mechi kuanza.
  Kikosi Cha Timu ya Chui Fc kutoka Bugerenga
  Kikosi Cha Timu ya Young Boys



Michuano ya Ligi ya Doto Cup 2017 kumaliza katika hatua ya Nusu fainali  baada ya kuumana kwa Timu nne ambazo ni Runzewe Academy Fc Vs Kurugenzi Fc na Young Boys Fc Vs Chui Fc  huku Runzewe Academy Fc  na Chui Fc kutoka Bugerenga  wakiibuka na ushindi.

Michezo hiyo iliyochezwa katika viwanja vya Runzewe na Kilimahewa Wilayani Bukombe ilikuwa ni kuwatafuta washindi hao na kati ya Kurugenzi na Young boys watacheza siku moja kabla ya fainali  ili kumpata mshindi wa tatu ataejinyakulia zawadi Jezi Seti moja na mpira pamoja na Cheti cha ushiriki wa michuano hiyo ya Ligi ya Doto Cup 2017 

Wadau wa Mpira wakizungumzia wakizungumzia mwenendo wa Ligi ya Doto Cup 2017

Comments