JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE CCM TANZANIA (UWT) WILAYANI BUKOMBE KUPATA UONGOZI MPYA

Katibu wa U.W.T Bukombe Twaiba Mkagala akiwaonyesha wajumbe boksi la kupigia kura likuwa tupu

Wagombea wanafasi mbali mbali ndani ya UWT-Bukombe
Sekratarieti ya uchaguzi UWT-Bukombeali U.W.T Bukombe
Wanafunzi walioshiriki katika zoezi la kuhesabu kura



Zoezi la upigaji kura





Washuhudiaji wa Uchaguzi UWT-Bukombe








Mafundi mitambo wa Uchaguzi UWT-Bukombe






Mwenyekiti wa UWT-Bukombe Agnes Mathias



MATOKEO YA UCHAGUZI UWT-BUKOMBE NIKAMA IFUATAVYO

1.NAFASI YA MWAKILISHI WAZAZI
AMESHINDA –SALM HAMIS KURA 225
                             
 MKUTANO MKUU TAIFA
1.AMESHINDA-ROZALIA.B.MASOKOLI KURA 158
2.MJUMBE UVCCM PILI SAID
3.MKUTANO MKUU CCM
ANA DANIEL  185
LUCY YELA  30
4.WAJUMBE WA BALAZA
BAYENGA MALALE
CHRISTINA PITA
JETRUDA
HABIBA
IDA
JOSEPHINA
                                                    
  WASHINDI WA BALAZA (UWT)BUKOMBE
1,.IDA ISAKA KURA 200
2.BAYENGA MALALE  187
3.RECHO CHARLES  174
4.CHRISTINA PETER  133
5.HABIBA NASORRO  115
6.STELA HAMIS KURA 106
 HALMASHAURI KUU
1.AGNES MATIAS 16
2.ELIZABET 172
3.YASINTA MARTINI 157
       MWENYEKITI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE CCM TANZANIA (UWT)
1.TABU HASAN 5
2.ASHA RAMADHANI 48
3.AGNES MATHIAS 181

Comments