Skip to main content
NDUGAI AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA IRAN NA KUFANYA NAE MAZUNGUMZO
Mhe.
Spika Job Ndugai leo amekutana na Spika wa Bunge la Iran, Mhe. Dkt.
Ali Larijani na kufanya nae mazungumzo yenye lengo la kuimarisha
mahusiano ya kibunge baina ya Bunge la Tanzania na Iran.
Comments
Post a Comment