Umati wa wananchi wa wilaya ya Bukombe wakisubili mwenge wa uhuru.
Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ,Mh.Josephat Maganga katika mapokezi ya mwenge wa uhuru.
Wakimbiza mwenge Kiwilaya,katika wilaya ya Bukombe.
Baadhi ya viongozi wakutokea Wilaya ya Chato, wakiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na madini Mh; Medard Kalemeni wakishiriki katika zoezi la kukabidhi mwenge wa uhuru Wilayani Bukombe.
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akivalishwa skafu na vijana wa skauti kutoka Wilaya ya Bukombe wakati wa mapokezi.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge waUhuru Kitaifa akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe Josephat Maganga wakielekea kwenye jukwaa la makabidhiano ya Mwenge wa uhuru.
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akiweke jiwe la msingi katika Ofisi ya Kata ya Busonzo .
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.
Baadhi ya waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Safari Nikas Mayala katika shamlashamla za mwenge wa uhuru.
Picha ya baadhi ya wataalamu wa Halmashauri hiyo ya Bukombe
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akitoa ujumbe wa Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya Runzewe.Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akifungua Barabara ya Uyovu -Namonge yenye urefu wa Km 12.
Soko la kisasa lililojengwa na kwenye Kata ya Namonge kwa lengo la kuhudumia wafanya Biashara wa bidhaa za chakula hasa zao la udaga.
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akikagua
Soko la kisasa lililojengwa na kwenye kata ya Namonge kwa lengo la kuhudumia wafanya Biashara wa bidhaa za chakula hasa udaga.
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akifungua soko la kisasa Namonge.
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akiwakabidhi wanakikundi wa cowoso- Uyovu hati ya utunzaji wa maji safi na mazingira.
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akikagua vyumba vya madarasa ya shule ya msingi Ibamba vilivyojegwa na fedha za serikali
Kiongozi wambio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg,Amour Hamad Amour akiwa Kituo cha Polisi Bukombe kuangalia nini hatuza walizochukua dhidi ya kupambana na ma dawa ya kulevya Wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe
Josephat Maganga aliupokea Mwenge
wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe.Rodrick Mpogolo ambao utakimbizwa Wilayani Bukombe kwa siku moja katika sehemu mbalimbali kwa ajili ya kukagua
miradi,kuizindua na kuweka jiwe la msingi na ilianzia Kata ya Busonzo na kuifungua Ofisi
ya Kata hiyo ya Busonzo .
Maganga alikabidhiwa Mwenge huo pamoja na wakimbiza
Mwenge Kitaifa na Kimkoa pamoja katika
eneo la Kijiji cha Namparahala Kata ya Busonzo Wilaya ya Bukombe ukiwa umewaka na kuahidi
kuukabidhi kwenye Wilaya ya Mbongwe ambayo anafuata baada ya kumaliza mda wake
Wilayani humo.
Alisema kuwa mwenge wa Uhuru ukiwa Wilayani
humo utapitia jumla ya miradi 10
inayohusu , , Utawala Bora Utunzaji
wa Mazingira na Maji Safi, Afya, Elimu, Barabara, Kilimo hasa cha Mihogo,
Ushirika, Biashara,Mapambano dhidi ya Dawa za kulevya, Malaria Rushwa na
Ukimwi.
“Ujumbe
wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu 2017 unasema “Shiriki katika uchumi wa
viwanda kwa maendeleo ya nchi yetu’’
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitafaifa Nd. Amour Hamad Amour akitoa ujumbe wa mwenge katika viwanja vya Runzewe. Bonyeza hapa chini kisikiliza
Comments
Post a Comment