Timu ya Kurugenzi iliyoko Kata ya Ushirombo ikiongozwa na Nahodha Maga wakipeana mikono na Timu ya Eleven King inayowakilisha Kata ya Bulega katika michuano ya Doto Cup 2017 ngazi ya Tarafa.
Kiungo Mshambuliaji wa Eleven King akijaribu kutafuta gori baada ya kumtoroka Beki wa Kurugenzi Fc.
Kikosi cha waamuzi wa mchezo uliofanyika katika viwanja vya Bulega kati ya Eleven King na Kurugenzi Fc kwenye michuano ya Ligi ya Doto Cup 2017 ngazi ya Tarafa

Katibu wa Chama Cha Mipira wa Miguu Wilaya ya Bukombe Bosco Mwidadi, Katibu Msaidizi wa Chama Cha Mipira wa Miguu Wilaya ya Bukombe Banunu, Diwani wa Kata ya Ng'anzo Mhe. Kipala Siyantemi, Diwani wa Kata ya Bulega Mhe. Erick Kagoma wakiwa meza kuu wakishuhudia mpambano.

Kama kawaida yetu mashabiki.
Timu ya Kurugenzi Fc wakishangilia baada ya kujipatia gori kupitia kwa Mabula Robert na hatie kuibuka mshindi katika fainali hiyo iliyokuwa imefurika mamia ya mashabiki katika uwanja huku Timu ya Eleven King ikiwa imefanya jitihada ambazo hazikuzaa matunda.
Comments
Post a Comment