Wananchi wa Kijiji cha Lyamchele Kata ya Ushirombo wakifanya mapokezi ya Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko mara tu alipowasili kwa ajili ya kufanya mkutano.
Moja ya Kikundi cha hamasa kilichotumbuiza katika mkutano huo wa Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko
Mwenyekiti wa Kijiji cha Lyamchele akifungua mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na kuuacha wazi.
Diwani wa Kata ya Ushirombo Mhe. Lameck Warangi akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Lyamchele.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko kisisitiza jambo kwa wakazi wa Lyamchele.
Wanancha wakiwa katika hali ya kutabasamu huku wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
Wakazi wa Kijiji cha Lyamchele wakiwa katika umakini wa kumsikiza Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika kijijini hapo.
Bofya hapa kusikiliza kilichosema Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko-Lyamchele

Comments
Post a Comment